Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katika mpango wa kihistoria unaolenga kubadilisha sura ya elimu jumuishi nchini Kenya, wanafunzi 850 wenye ulemavu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wanajiandaa kuanza mafunzo ya mtandaoni ya wiki 14. Mpango…