Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bodi ya Dawa na Sumu hapa nchini (PPB), imetoa tahadhari kuhusu dawa ghushi ya inayodaiwa kutibu saratani ambayo inasambazwa hapa nchini. Kupitia kwa taarifa, bodi hiyo imesema shehena ya dawa…