Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mwigizaji tajika wa Kenya Sarah Hassan ametangaza kwamba amealikwa kama mgeni wa heshima kwa kongamano kuhusu kuwezesha wanawake na maendeleo endelevu jijini Brazzaville katika Jamhuri ya Congo. Kulingana naye kongamano…