Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amesema Kenya imejitolea kuvutia uwekezaji wa kigeni wa hali ya juu humu nchini. Kiongozi wa taifa alidokeza kuwa serikali inafanya marekebisho yatakayoibadili Kenya kuwa kitovu cha kibiashara…