Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa sita akiwemo Afisa anayesimamia Kituo cha Polisi cha Central Nairobi Samson Talaam, leo Jumanne wanatarajiwa kufunguliwa mashtaka ya mauaji ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang. Afisi ya kiongozi wa…