Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Samburu Moses Lenolkulal Kasaine amepatikana na hatia kwenye makosa kadhaa kwenye kesi ya ufisadi wa shilingi milioni 83 dhidi yake na washtakiwa wenzake 10. Lenolkulal…