Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amesema kuwa serikali inawekeza katika miundomsingi ambayo inaleta mabadiliko hapa nchini. Kiongozi huyo wa taifa alidokeza kuwa ili kufanikisha ukuaji wa uchumi wa kijamii na pia kubuni…