Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maseneta na wafanyakazi wa Bunge la Seneti wamepigwa marufuku kusafiri nje ya nchi kwa kipindi cha yamkini wiki mbili zijazo. Spika Amason Kingi anasema hatua hiyo inatokana na shughuli nyingi…