Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katika kile kinachoonekana kuwa ubabe wa kisiasa, vyama vya Orange Democratic Movement - ODM na United Democratic Alliance - UDA vimetangaza nia ya kuwasilisha wagombezi katika uchanguzi mdogo wa Ugunja. …