Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imetoa wito kwa Wakenya wanaoishi, kufanyakazi au wanaosafiri ng'ambo, kuheshimu sheria za nchi husika, ili kuepuka kujipata pabaya. Wito huo unajiri kufuatia ufanisi wa kidiplomasia ambapo Mahakama ya Juu…