Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Bunge la Seneti limeidhinisha hoja ya kumuondoa mamlakani Naibu Gavana wa kaunti ya Kisii Dkt. Robert Monda. Dkt. Monda anakuwa Naibu Gavana wa kwanza kutimuliwa madarakani tangu kufanyika kwa uchaguzi…