Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa upelelezi wa jinai huko Samburu wamekamata jamaa kwa jina Christopher Ayok Lemarkele wa umri wa miaka 20, anayeshukiwa kutekeleza visa kadhaa vya wizi wa kimabavu mjini Maralal na…