Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Uchunguzi uliofanyiwa kichwa cha mwanafunzi wa chuo kikuu Rita Waeni Muendo, umebaini kuwa alinyongwa kabla ya kukatwa kichwa. Mwanapatholojia Mkuu wa Serikali Johansen Oduor akizungumza na wanahabari siku ya Alhamisi,…