Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mazishi ya mwanahabari Rita Tinina aliyefariki mapema wiki hii yataandaliwa tarehe 27 mwezi huu katika kaunti ya Narok. Ibada ya mazishi itafanyika nyumbani kwao Noosupeni Farm Olokirikira, kaunti ya Narok,…