Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kemi Badenoch ameahidi kuleta mabadiliko katika chama cha Conservative cha Uingereza baada ya kuibuka mshindi wa kinyang'anyiro cha uongozi wa chama hicho. Ameahidi kurejesha wapiga kura waliokuwa wafuasi wa chama…