Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ujenzi wa barabara ya kilomita 170 ya Rironi-Mau Summit, inatarajiwa kuanza katika muda wa miezi mitatu ijayo. Kulingana na wizara ya Barabara na Uchukuzi, mwanakandarasi atakayejenga barabara hiyo anatarajiwa kufika…