Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imekanusha madai kuwa wazazi watalazimika kuwalipia watoto wao wanaosomea shule za sekondari za umma kitita cha shilingi 53,554 kama karo kwa mwaka kuanzia mwezi Januari mwakani. Waziri wa Elimu…