Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maandalizi ya sherehe za Mashujaa, yamekamilika katika uwanja wa michezo wa Kwale. Kitengo cha KBC Digital kilizuru Uwanja huo Leo Jumamosi kupigia kurunzi maandalizi hayo, na kubainisha uwanja huo uko…