Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma ODPP, imeagiza halmashauri ya kutathmini utendakazi wa polisi,IPOA, kuchunguza na kuwasilisha ripoti kuhusu mauaji ya Rex Masai ndani ya siku 21. Kupitia…