Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Renson Ingonga, amethibitisha kukamatwa kwa raia mmoja wa uingereza kuhusiana na kifo cha mkenya Agnes Wanjiru mwaka 2012. Kulingana na Ingonga, mshukiwa huyo kwa sasa…