Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu amewasili nchini Indonesia kwa ziara ya kitaifa ya siku tatu. Anasema ziara hiyo inafuatia mwaliko wa Rais wa Indonesia Joko Widodo. Tanzania na Indonesia zimekuwa…