Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Utawala wa Kenya Kwanza umekusudia kusuluhisha changamoto mbalimbali zinazowakumba Wakenya kwa kipindi cha miaka mitatu ambayo umekuwa madarakani. Rais William Ruto amesema azma ya Wakenya ni kuona ufumbuzi wa kivitendo…