Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Misa ya marehemu Raila Odinga itafanyika katika chuo kikuu cha Jaramogi Oginga Odinga mapema Jumapili kabla ya mazishi. Baada ya ibada hiyo, mwili wa Hayati Raila utazikwa katika kaburi la…