Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanajeshi wa Israel wamechoma na kubomoa makazi kadhaa katika eneo la Rafah ambalo liko kusini mwa ukanda wa Gaza. Haya yanafuatia shambulizi lililotekelezwa na wapiganaji wa Hamas. Wanajeshi wanane wa…