Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya na Morocco zimethibitisha kujitolea kwao kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta za baharini, uchukuzi na usafirishaji. Waziri wa Madini na Uchumi wa shughuli za baharini Hassan Joho…