Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Watu wanne ambao wanashukiwa kuhusika katika wizi wa shilingi milioni 94 za kampuni ya maduka ya jumla Quikmart zilizokuwa zikipelekwa benki wamekamatwa. Kulingana na maafisa wa polisi, washukiwa hao wanne…