Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Maafisa wa polisi wamewakamata washukiwa 39 zaidi, wanaoaminika kuwa wanachama wa magenge ya wahalifu katika kaunti ya kwale. Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), ilisema washukiwa hao walikamatwa…