Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mabadiliko ya Makatibu wa Wizara yanatarajiwa hivi karibuni kufuatia tangazo la serikali la kuwaajiri Makatibu wapya mapema wiki hii . Mabadiliko hayo yamekuwa yakinukia hususan tangu kubadilishwa kwa Mawaziri kwenye…