Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa afya Susan Nakhumicha amesema serikali imetoa shilingi bilioni 6.1 kutimiza matakwa ya madaktari wanaogoma, huku akitishia kuwashtaki maafisa wa vyama vyao ikiwa hawatasitisha mgomo. Maafisa wa vyama vya…