Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu katika Wizara ya Kilimo Kipronoh Ronoh alikutana na wadau wa chai nchini siku ya Jumatatu katika juhudi za kuharakisha mageuzi katika sekta hiyo. Ronoh amejadiliana na wadau wa setka…