Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wanachama wa Kamati ya bunge la taifa kuhusu elimu wamehoji idara ya Uhamiaji kuhusu kucheleweshwa kwa utoaji wa vitambulisho almaarufu Maisha Card kwa wanafunzi. Hatua hiyo wanasema imezuia wanafunzi wa…