Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya imejiunga rasmi na Bodi ya Shirika la uangalizi la Sahara na Sahel (OSS) kama makamu wa tatu wa rais, wadhifa muhimu wa uongozi unaodhihirisha tena dhamira ya nchi hii…