Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Kenya inaunga mkono wazo la ushirikiano na mataifa mengine katika kukabili ukuzaji na maandalizi ya mihadarati na madawa mengine ya kulevya. Akizungumza jijini Abuja nchini Nigeria katika kongamano la 31…