Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Katibu katika Wizara ya Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Dijitali Prof. Edward Kisiang'ani ameondolewa kwenye wadhifa huo katika mabadiliko ya hivi karibuni yaliyofanywa na Rais William Ruto serikalini. Tangu kubuniwa…