Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mkewe Naibu Rais Dorcas Rigathi amekariri kujitolea kwa serikali ya Kenya Kwanza kuimarisha hali ya wafungwa katika magereza ya humu nchini. Kulingana na Naibu Kamishna wa Magereza Florence Omondi, idadi…