Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais Joe Biden alikutana na Rais mteule Donald Trump katika Ikulu ya Marekani jana Jumatano, hatua ya kwanza ya mchakato wa kupokezana mamlaka. Biden alihakikishia Trump kwamba serikali yake iko…