Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Viongozi mbali mbali pamoja na wananchi wa taifa la Namibia wanakusanyika leo katika uwanja wa michezo wa Independence jijini Windhoek nchini Namibia kuuaga mwili wa marehemu Rais Hage Geingob. Rais…