Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Klabu ya Arsenal ilichukua alama zote tatu nyumbani Emirates baada ya kuwakwaruza mabingwa watetezi wa ligi Manchester City kwa bao moja kwa sufuri. Mchezo wa Arsenal na Manchester City ulikuwa…