Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Washukiwa wa ulanguzi wa mihadarati na utengenezaji wa pombe haramu wamekamatwa katika maeneo ya Sigalagala, Maseno, na Shinyalu katika kaunti ndogo ya Kakamega Kusini. Wote hao walikamatwa wakati wa operesheni…