Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Polisi wa Kenya aliyetoweka wakati wa operesheni nchini Haiti amethibitishwa kufariki. Idara ya Taifa ya Polisi (NPS) imethibitisha kifo cha polisi huyo aliyekuwa sehemu ya Kikosi cha Kimataifa cha Kudumisha…