Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Rais William Ruto amemuomboleza aliyekuwa mbunge wa Karachuonyo Dkt. Phoebe Muga Asiyo, akimtaja kiongozi mjasiri aliyepigania usawa wa kijinsia. "Sauti yake ilitekeleza wajibu muhimu wa kupigia debe ujumuishaji wa wanawake…