Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wakenya wamehimizwa kutochukua sheria mikononi mwao dhidi ya maafisa wa idara ya Mahakama, wanapokosa kuridhishwa na matokeo ya kesi. Akizungumza leo Jumamosi wakati wa ibada ya mazishi ya Hakimu Mwandamizi…