Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Alice Guo ambaye awali alikuwa meya nchini Ufilipino na ambaye anatuhumiwa kwa kufanyia China upelelezi amekamatwa nchini Indonesia. Guo amekuwa mafichoni kwa wiki kadhaa na amekuwa akisakwa na maafisa tangu…