Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shirikisho la soka barani Afrika limetangaza zawadi ya donge nono kwa timu zitakazoshiriki makala ya kwanza ya kipute cha ligi ya soka Afrika (AFL), kitakachoandaliwa kuanzia Oktoba 20 mwaka huu.…