Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali haitaingilia uchaguzi ujao wa Shirikisho la Soka humu nchini unaotarajiwa kuandaliwa Disembe 7,2024, lakini washikadau wote wanaohusika lazima wazingatie sheria. Katibu katika wizara ya Michezo Peter Tum alisema kwamba…