Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mudavadi alisema Wakenya walio ughaibuni sio wachangiaji tu wa simulizi la taifa; ni washirika wakuu katika kujenga Kenya yenye ukuaji wa pamoja, fursa na ustawi kwa wote.