Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Takriban wafanyakazi 2,000 wa shirika la Posta nchini wameanza mgomo kote nchini siku ya Alhamisi kulalamikia kutolipwa mshahara wa miezi mitano. Katika kaunti ya Nairobi, wafanyakazi hao walikongamana katika tawi…