Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu kiongozi wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM) Wycliffe Oparanya, amepuuzilia mbali madai kwamba kuna migawanyiko katika chama hicho. Akizungumza na wanahabari baada ya kumtembelea gavana wa Busia Paul…