Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mahakama ya Rufaa jana Jumatano ilitupilia mbali rufaa iliyowasilishwa na Mchungaji Ezekiel Odero kupinga kupokonywa leseni ya kanisa lake la Kilifi. Mchungaji Odero alikuwa amewasilisha rufaa kupinga uamuzi wa mahakama…