Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Prof. Kithure Kindiki ameomba msamaha kutokana na mapungufu ya muda mrefu na ukawiaji unaoshuhudiwa katika utayarishaji wa utoaji wa pasipoti nchini. Miezi iliyopita, Prof. Kindiki…